KARIBUNI



upendo wangu kwa watoto ni mkubwa sana yaani napenda napenda napenda watoto haijalishi jinsia wala rangi.......

naamini hakuna mzazi asiyempenda mwanae na furaha ya mzazi ni kuona mwanae akiwa na furaha na afya nzuri.......na karaa ya mzazi ni pale anapooona mtoto anaumwa, mimi binafsi huwa nakosa raha sana mwanangu akiumwa......

thumuni ya kufunga hii blog nataka tuongee na ku share chochote kile kinachohusiana na watoto wetu.......kero,furaha,uzuni,utundu and e.t.c kuhusu watoto wetu....

Karibuni.

Comments

  1. yeap,we will be sharing! i also love kids,thank u for the comments,how is baby doing?

    ReplyDelete
  2. welcome mummy......baby is doing super fine so mtundu

    ReplyDelete
  3. mtundu now! naona ndo kwanza kazi imeanza hapo,how old is he jamani?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

HEALTH BABY

SHOPPING TIME @MLIMANI CITY MALL