PARENTS TUWE MAKINI








                                        look at this water jamani????



watoto wetu wanapenda sana kuchezea maji yaani huwaga natamani kukapiga ka Ethan maana kakiona maji hakabanduki, ila hii style ya watoto kuchezea maji machafu especial mvua ikinyesha..... yaani ukipita maeneo ya uswazi ketu unakuta watoto wako bize na kuchezea maji machafu mimi binafsi huwa nawafukuza nawaambia nendeni nyumbani sema ndo mitoto mingine mibishi wala hawakusikii kabisa ndo kwanzaaaa yuko bize

wazazi tuwe makini sana na watoto wetu maana humu kwenye haya maji kuna magonjwa kibao unashangaa mtoto anaumwa we hujui anaumwa nini kumbe ni maji machafu alokuwa anachezea.

Comments

  1. uwa nasikia vibaya kweli,tena unawakuta wako bize kabisaaa,tena sometimes na mzazi wao anawaangalia tu,unakuta maji yana rangi nyeusiii,yani.
    ila watoto wengine ukiwakuta wamejipindia ukiwaaaambia wanakushushuaje sasa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. unaweza shushuliwa we ukajutaaaa kuwaambia. some parents hawajui how to take care of their kids

      Delete
  2. Jamani! What a nice background! ka Ethan kamependezesha iyo background sana.very cuteeeee! tena tunaona ivyo vi super cute eyes,waooooo! kissess to him

    ReplyDelete
    Replies
    1. wow thanks much dear, kiss Mahogany for me as well

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

HEALTH BABY

SHOPPING TIME @MLIMANI CITY MALL