look at this water jamani???? watoto wetu wanapenda sana kuchezea maji yaani huwaga natamani kukapiga ka Ethan maana kakiona maji hakabanduki, ila hii style ya watoto kuchezea maji machafu especial mvua ikinyesha..... yaani ukipita maeneo ya uswazi ketu unakuta watoto wako bize na kuchezea maji machafu mimi binafsi huwa nawafukuza nawaambia nendeni nyumbani sema ndo mitoto mingine mibishi wala hawakusikii kabisa ndo kwanzaaaa yuko bize wazazi tuwe makini sana na watoto wetu maana humu kwenye haya maji kuna magonjwa kibao unashangaa mtoto anaumwa we hujui anaumwa nini kumbe ni maji machafu alokuwa anachezea.
ofcourse it is cuuuuuute
ReplyDeletehe looks happy and healthy
DeleteThanks dear. say hie to baby Mahogany
Delete