This is my friends baby yani Ethan the way anavyompenda huyu mtoto hadi nashangaaga Usimuone hivi katulia he is very mkorofi akiianza hapakaliki.. Super health baby...love hayo mashavu Oya mnanipiga piga picha za nini??? Embu nikunje ngumi nilale mie.. Mnanionea kwasababu siwezi kushika eehh?? Ndege ileeeeeeeeee inapita juu Ntalia sasaivi Sweety baby..OMG Tabasamu langu poziiiii Na hapo je???? next time tena watanipiga picha ntakuwa nishakuwa kidogo
kwetu pazuri yaani tunaishi karibu na waya za umeme siku zikilipuka tu O.M.G tutatafutana mwanamke ku ringa haswa ukiwezaa poziiiiiiiiiiiiiii embu fanya haraka mkojo umenibana mieeee hivi ni kweli hii inauzwa mia tano embu nihakikishe unajua hii camera yangu haipigi picha vizuri embu nije kununua hii hapa sasa unanishauri nichukue ipi ? embu na mimi nijaribu ku poze kama huyu dada hapo kwenye picha we usipige picha nimekunja uso bana guys embu malizeni twende nyumbani kha nimechoka na mipicha yenu
Comments
Post a Comment