WAZAZI


jamani ivi hii tabia ya wazazi kuwaita watoto wao majina ya ajabu inakuwaje jamani? yaani unakuta mama anamwita mwanae "we mbwa,shetani,ng'ombe,paka,mshenzi e.t.c njoo apa" hivi kweli kama wewe ni mzazi na ulimbeba huyo mwanao tumboni miezi 9 alafu unamuita majina ya ajabu kama hayo kweli?


wazazi embu tuwe tunafikiria kabla ya kuropoka, ulimi unaumba jamani tuwe makini na maneno yetu.

Comments

Popular posts from this blog

MOMMIES

HEALTH BABY

SO TOUCHING INDEED