HEALTH BABY

 This is my friends baby yani Ethan the way anavyompenda huyu mtoto hadi nashangaaga


 Usimuone hivi katulia he is very mkorofi akiianza hapakaliki..


 Super health baby...love hayo mashavu


 Oya mnanipiga piga picha za nini???


 Embu nikunje ngumi nilale mie..


 Mnanionea kwasababu siwezi kushika eehh??


 Ndege ileeeeeeeeee inapita juu


 Ntalia sasaivi


 Sweety baby..OMG


 Tabasamu langu


 poziiiii


Na hapo je???? next time tena watanipiga picha ntakuwa nishakuwa kidogo

Comments

  1. woooow cute cute baby

    ReplyDelete
  2. duh very healthy,very good,how old?

    ReplyDelete
  3. duh only 3 months old? kako very healthy sijui knalishwa nini jamani,au ndo nyonyo tu limekubali

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MOMMIES

SO TOUCHING INDEED