IMENIGUSA SANA !!!
Japokua anadai alikua mwanachama wa FREEMASONS, Samwel alikua anajihusisha na biashara ya dawa za kulevya pia na amekiri kufanya biashara hiyo na baadhi ya viongozi wakubwa wa dini wa Tanzania na hata kukaa nao meza moja, hiyo alama kwenye sikio lake la kulia anasema waliwekewa kwa makusudi ili iwe rahisi kutambulika popote atakapotokea, yani ukimuona tu unajua huyu anauza hizo dawa za kulevya.
Hii ndio anasema ni alama kubwa aliyopigwa katika mgu wake wa kushoto kumtambulisha kwamba ni mwanachama wa FREEMASON, ni alama kama muhuri, iliyoambatana na KIAPO ambapo popote atakapokwenda atatambulika, amesema kwa sasa ndio inamsumbua sana kwa sababu chuma kilichotumika kumuwekea kimevunja mfupa, na hii aliifanya huko Afrika Kusini.
For more info pls ingia here http://millardayo.com
ivi jamani haya mambo kumbe yako ukweli ukweli! me sina hata la kusema,mungu atunusuru tu
ReplyDelete