MTOTO ALIYETUPWA HUKO JIJINI MBEYA
Lord have mercy....
Honestly unabeba mtoto tumboni kwako miezi 9 u
experiance labour pains how painful it is
finally mungu anakusaidia u give birth to a cute lil baby
kama huyu then kwa akili zako na mikono yako unaenda kumtupa????
how can you do that?
Watu wanakesha makanisani wanasali,
wengine wanalalamika mitaani ndoa zinavunjika kisa
hawapati hata dalili za mimba then u go on and throw a baby on the street?
mungu na awalaani watu kama hawa naumia kweli
hata kama ni ugumu wa maisha si ungempeleka hata
nyumbani kwa mtu umuache basi au vituo vya kulelea
watoto yatima kuliko kumtuma
Kuna story nyingine tena mwanafunzi wa chuo
kazaa then kamtupa mtoto kwenye shimo
jamani jamani jamani ni shetani gani huyu??????????
Comments
Post a Comment