SHOPPING TIME @MLIMANI CITY MALL

 kwetu pazuri yaani tunaishi karibu na waya za umeme siku
zikilipuka tu O.M.G tutatafutana








 mwanamke ku ringa haswa ukiwezaa


 poziiiiiiiiiiiiiii


 embu fanya haraka mkojo umenibana mieeee


 hivi ni kweli hii inauzwa mia tano embu nihakikishe


 unajua hii camera yangu haipigi picha vizuri embu nije
kununua hii hapa

 sasa unanishauri nichukue ipi ?


 embu na mimi nijaribu ku poze kama huyu
dada hapo kwenye picha

 we usipige picha nimekunja uso bana




guys embu malizeni twende nyumbani kha nimechoka na
mipicha yenu

Comments

Popular posts from this blog

HEALTH BABY