Posts

Showing posts from March, 2012

BABY ETHAN'S SMILE!

Image
Tabasamu basi... heheheheh hili ndo cheko langu sikuhizi nacheka kiaibuaibu  i love this gal she takes extra care of my baby yaani nikiwaga kazini wala sina preshure najua Ethan is been taken good care na dada yake, anampenda sana Ethan i feel like mshahara ninaomlipa haumtoshi kama nimuongezee vile.lol....... yaani she loves my son words cant even explain how.. Nakupenda dada Ethan Wishing you a lovely weekend wadau wangu woteeeeeee nawapendaga sana tena sasa tu, sina any plans for this weekend i think i will just be chillin at home with my family 

THE LOOK I LOVE

Image
i just love the way they dress Mason... simpatii picha akikuwa itakuwaje

??????

Image

O.M.G!

Image
Dont even know where to start so huu ni ugonjwa or afya???

OOH YES BABY YOU CAN

Image
Na uchafu wake wote huu ila u will be suprised anakuja kuwa president kweli jamani.. although am sure huyu aliyemnunulia or aliyemvalisha hajui wala maana ya hayo maneno hapo..

HEALTH BABY

Image
 This is my friends baby yani Ethan the way anavyompenda huyu mtoto hadi nashangaaga  Usimuone hivi katulia he is very mkorofi akiianza hapakaliki..  Super health baby...love hayo mashavu  Oya mnanipiga piga picha za nini???  Embu nikunje ngumi nilale mie..  Mnanionea kwasababu siwezi kushika eehh??  Ndege ileeeeeeeeee inapita juu  Ntalia sasaivi  Sweety baby..OMG  Tabasamu langu  poziiiii Na hapo je???? next time tena watanipiga picha ntakuwa nishakuwa kidogo

SIKUPENDI..

Image
Lione  kwanza unamchekesha nani?? sikupendi wala ngozi yako haijafanana na     yangu siwezi kukuchekelea

WEEKEND PIC: YAANI NIMEWAKUTA HICHO KICHAPO WANGEPATA AISEEE...

Image

IF I WERE THE TEACHER NINGEMPA HUYU MWANAFUNZI 100/100

STUDENT WHO OBTAINED 0% ON AN EXAM I would have given him 100% Q1. In which battle did Napoleon die? * his last battle Q2. Where was the Declaration of Independence signed? * at the bottom of the page Q3. River Ravi flows in which state? * liquid Q4. What is the main reason for divorce? * marriage Q5. What is the main reason for failure? * exams Q6. What can you never eat for breakfast? * Lunch & dinner Q7. What looks like half an apple? * The other half Q8. If you throw a red stone into the blue sea what it will become? * I t will simply become wet Q9. How can a man go eight days without sleeping ? * No problem, he sleeps at night. Q10. How can you lift an elephant with one hand? * You will never find an elephant that has only one hand.. Q11. If you had three apples and four oranges in one hand and four apples and three oranges in other hand, what would you have ? * Very large hands Q12. If ...

VITOTO VYA SIKUHIZI BANA

Image

PIC OF THE DAY: MAMA ETHAN

Image

SOME MAMA NA MWANA TIME...

Image
 Mommy kwani simu ya dada haijapona???  Ndio mwanangu haijapona bado imeingia maji mengi sana....  Mommy basi nibembeleze nilale I heart you my boy lalaaaa eeeh.....

HABARI INASIKITISHA SANA JAMANI

Baba na mama,ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiweka juu ya meza,naomba msishtuke mana ni mambo ya kawaida kwenye maisha tunayoishi,najua mtaumia kwa vile bado nasoma ... na ndo nipo kidato cha kwanza,Napenda kuwajulisha kwamba sasa hivi mnaposoma hii barua sipo nyumbani,nimetoroka mana nimegundua nina uwezo wa kujitegemea kwa sababu mi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 14 na ninajua kipi chema na kipi kibaya.tangu mwezi mmoja uliopita nilikuwa na uhusiano na binti mmoja aliyeitwa Rachel,mwenye umri wa miaka 27 na kwa sasa ndo naishi naye kwenye chumba alichopanga.Nilipokuwa nyumbani sikuwa napata hela za kutosha ila sasa nimeanza kushika noti za shilingi 10,000,msichana niliyenaye ni mzuri sana wa umbo na ninampenda sana,amenifundisha njia za kutafuta hela.Amenipangia kazi ya kuuza madawa ya kulevya na yeye ikifika usiku anaenda kuuza mwili wake,basi kila siku tunapata hela ya kutosha,huyu mchumba wangu ni msichana mwenye bidii,kwa siku analala ma...

WERE ARE WE MAMA??

Image
 Leo hata sijui wamenileta wapi hapa alafu wamenikalisha kwenye kiti wakati wanajua naogopa kushuka.....  who is this stranger???  nimenunuliwa pipi while mom is fixing simu ya dada........  yummy yummy...  sasa hapa let me start my utundu hapa hapa kwenye kiti....  yeeeeeeeeiiiiiii...  Mama just bcoz nimetupa simu ya dada kwenye maji dont punish me like this i wont do it again please tengeneza tuondoke its boring being here......  thanks kwa kunisamehe mommy....ntarudia tena.lol lete na hii camera nikaweke kwenye maji.lol

HAHAHAHA CHEKA KIDOGO

Image

MAMA ETHAN A.K.A MAMA JNR

Image
                                                          DEUCES!!!!                         Mwanamke pozi haswa ukiziwezaa!!!!                          Oyaaa piga picha haraka nachelewa kazini.....

EARLY MORNING

Image
 before my mommy goes to work lazima nipitie handbag yake and today nimetoa vitu vyoteeeee ila ntawaonyesha vichache tu maana akinikuta...  embu niwaonyeshe fasta kabla hajatoka bafuni.....dada piga picha fastaaa...  nimekutana na camera case....  i think she is wearing this blouse today...  hehehhehehehe mommy anatumia Shower to Shower anaipenda kweli she told me she is bein using this since yuko high school....  nashika pen vizuri heeee???  mmhh i hope she is not coming .....  and wat is this???? Dada dont show it.lol hehehehehehe its time for me to go brush my teeths before mommy comes back.....ciao!

CUTE OR SCARY??

Image
i think it's cute wat do u think guys????