MY SILENCE

Hey guys hope everybody is doing super great, i know i have been silent for almost 2 weeks now ila sio kwa kupenda i was sick with RED EYES yaani sijawahi umwaga huu ugonjwa guys msiombe kabisa unaweza jitundika ghafla macho yanauma in a way i cant explain usiombe uiname unaona kama macho yanadondoka vileee kha huu ugonjwa ushindwe na usinirudie tena.....

So after me kupona ukaamia on ma SON i swear i felt like kupigana nao bt thank God my son hakuumwa sana na yeye akamuambukiza my maid so i short nyumba nzima tumeumwa RED EYES thanks why wala sikutaka kabisa kuingia huku. maana ule ugonjwa hautaki mwanga kabisa ukipigwa na mwanga unaweza isi unakuwa kichaa.....


Now am back to my normal eyes fully recovered and ready to blog and blog hadi basi......nimewamiss sana wadau wangu


I SEE I GOT MORE FOLLOWERS THANK YOU SO MUCH GUYS...NAWAPENDAJEEEEEEEEEEE!







My home office cha kuzugua zugia

Comments

  1. pole sana ila you look stunning.

    ReplyDelete
  2. poleni jamani,kama nilihisi tu labda mnaumwa,niliwamiss sana

    ReplyDelete
  3. Thank you wapendwa miss u more more jamani.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MOMMIES

HEALTH BABY

SO TOUCHING INDEED