ONLY IN AFRICA.

 nasikia njaa mama sujui yuko wapi hadi sasaivi



 sijui nyumbani ntaenda kusemaje jinsi nlivyochafuka hivi dah.




nishachezea unga hapa nisubirie tu kipondo

Comments

  1. Yah, indeed, maisha ya utoto ni ndoto iliyopita, unatamani uiote tena, lakini kumeshakucha....

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MOMMIES

HEALTH BABY

SO TOUCHING INDEED