I CAN WALK NOW
i think am seeing something kileee
my son is now walking yaani hadi raha the way
anavyowalk na kuweka vimkono vyake, nlishindwa
kupata picha yake alivyotoka pale kwenye kitu hadi
kwenye stand ya vegetable
mummy hii nini?
face this way nkupige picha Son.
hilo poze sasa duh
nishapata cha kuchezea
WOW HONGERA ZAKE,NAONA AMEFURAHI SANA
ReplyDelete