KUPIGA WATOTO

Hope you all doing lovely,



Jamani leonimeamua kuongelea hili swala maana huwaga linanigusa sana ever since sijafikiria kuzaa, how is it possible unakuta mzazi anachukua fimbo na kumchapa mtoto kama vile anapiga mtu mzima??? do you think kumpiga mtoto ndo kumfundisha? me i don't get it kabisa.

walimu wa shule nao kutwa kukomaza wototo wetu kwa kuwapiga, i always say kwanza kumpiga mtu sio kumfundisha, kaa nae chini mueleweshe vizuri kwamba hapa sipo hapa unapaswa kwenda hivi sio kutandika watoto bakora jamani.

inaniumaga sana ninapoona mzazi amechukua fimbo na kumchapa mtoto haijalishi kafanya nini.........hivi roho inakuwa haikuumi??

Comments

  1. wananikelaga mimi,sijui ata inakuwaga vipi? me huwa siwaelewi kabisa,ni unyama sana their just little babies sometime unampiga kwa kosa hata haelewi kichwa wala miguu,tena bora kizazo chetu cha wazazi wa sasa,hao wazazi wa miaka michache nyuma nadhani ndo walikuwa balaa

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MOMMIES

HEALTH BABY

SO TOUCHING INDEED