HEALTH BABY
This is my friends baby yani Ethan the way anavyompenda huyu mtoto hadi nashangaaga Usimuone hivi katulia he is very mkorofi akiianza hapakaliki.. Super health baby...love hayo mashavu Oya mnanipiga piga picha za nini??? Embu nikunje ngumi nilale mie.. Mnanionea kwasababu siwezi kushika eehh?? Ndege ileeeeeeeeee inapita juu Ntalia sasaivi Sweety baby..OMG Tabasamu langu poziiiii Na hapo je???? next time tena watanipiga picha ntakuwa nishakuwa kidogo
hello, to busy boi
ReplyDeleteyaani nakoma humu ndani, we subiri tu Mahogany akue aanze pirikapirika zake utakoma mwenyewe, nkiwaga kazini nakamiss bt nkirudi tu duh nachoka maana ni kupigishana makelele tu. we unapanga hapa mwenzio anatimua
Delete