HEALTH BABY
This is my friends baby yani Ethan the way anavyompenda huyu mtoto hadi nashangaaga Usimuone hivi katulia he is very mkorofi akiianza hapakaliki.. Super health baby...love hayo mashavu Oya mnanipiga piga picha za nini??? Embu nikunje ngumi nilale mie.. Mnanionea kwasababu siwezi kushika eehh?? Ndege ileeeeeeeeee inapita juu Ntalia sasaivi Sweety baby..OMG Tabasamu langu poziiiii Na hapo je???? next time tena watanipiga picha ntakuwa nishakuwa kidogo
hahahaha nimecheka kweli yaani huyo dada anaonekana anamchekesha hilo toto la kihindi lakini mtoto wapiii kanunaaaaaaaaa
ReplyDeletemmmmmh,no coment
ReplyDelete