This is my friends baby yani Ethan the way anavyompenda huyu mtoto hadi nashangaaga Usimuone hivi katulia he is very mkorofi akiianza hapakaliki.. Super health baby...love hayo mashavu Oya mnanipiga piga picha za nini??? Embu nikunje ngumi nilale mie.. Mnanionea kwasababu siwezi kushika eehh?? Ndege ileeeeeeeeee inapita juu Ntalia sasaivi Sweety baby..OMG Tabasamu langu poziiiii Na hapo je???? next time tena watanipiga picha ntakuwa nishakuwa kidogo
trully inawezekana hajui jamani maana yake,anaweza kabisaaaaa kuwa the president wa siku za mbele,wengi wenye success wametokea huku.
ReplyDeleteNice background,baby ethan amepandezaaaa