This is my friends baby yani Ethan the way anavyompenda huyu mtoto hadi nashangaaga Usimuone hivi katulia he is very mkorofi akiianza hapakaliki.. Super health baby...love hayo mashavu Oya mnanipiga piga picha za nini??? Embu nikunje ngumi nilale mie.. Mnanionea kwasababu siwezi kushika eehh?? Ndege ileeeeeeeeee inapita juu Ntalia sasaivi Sweety baby..OMG Tabasamu langu poziiiii Na hapo je???? next time tena watanipiga picha ntakuwa nishakuwa kidogo
Thanyuuuu mama Ethan for the pic,u r awesome.
ReplyDeleteWe acha tu me mwenyewe macho yalinitoka,3 mthn! sitting down? doc akadai ni imani tu,once shingo ikikomaa hamna problem yoyote kumkalisha chini,nikamwambia kwetu watakusema na kukushan'gaa,unamharibu mtt akacheka sana akadai scientifficaly is not applicable ni imani tu,si wenyewe bado tunaogopa kumkalisha.
hata sijui ni ukweli au vipi