WERE ARE WE MAMA??

 Leo hata sijui wamenileta wapi hapa alafu wamenikalisha kwenye kiti wakati wanajua naogopa kushuka.....


 who is this stranger???


 nimenunuliwa pipi while mom is fixing simu ya dada........


 yummy yummy...



 sasa hapa let me start my utundu hapa hapa kwenye kiti....


 yeeeeeeeeiiiiiii...



 Mama just bcoz nimetupa simu ya dada kwenye maji dont punish me like this i wont do it again please tengeneza tuondoke its boring being here......


 thanks kwa kunisamehe mommy....ntarudia tena.lol


lete na hii camera nikaweke kwenye maji.lol

Comments

  1. yeah! bora kawa mkweli atarudia tu tena,bado na iyo camera yako,kaa tayari,hizo ndizo joys za motherhood

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

HEALTH BABY

SHOPPING TIME @MLIMANI CITY MALL