NAKUMBUKA MBALIIII!!!!

nani ambaye hajacheza haka ka mchezo jamani??? nlikuwa naibaje sasa unga na mchele ndani??? hapo mama keshapika baba anasubiria kula....hahahahaha dont ask me wat happens next mkishamaliza kula.......... duh tunatoka mbali jamani kids wetu wa sikuhizi they dont enjoy hii michezo...


Comments

  1. uyo baby boi hilo pose lake tu! cheza sana kupika kupika tena vifuu vya nazi ndo masufuria,bora ulikuwa unaiba unga na mchele,nilikuwa nakoroga matope yeneyewe haswaa,baadae unakutwa mchafuuu unachapwa mpaka unaelewa ila sikomi narudia tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahhahahaha mama Mahogany bana u always make me laugh..... eti unachapwa lakini hukomi mweeeeeh!

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

HEALTH BABY

SHOPPING TIME @MLIMANI CITY MALL